Kwanini nyasi uwanja wa Mkapa hazikuwahi kuwa hivi?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Wajuzi naomba mnisaidie, Shida ni nini? Kwanini nyasi za pitch kwa Mkapa hazijawahi kuwa smart kama za wenzetu? Nini kifanyike?

Unawazia mbali sana. Siku kama mbili kabla ya ufunguzi wa AFL niliona mtu amekaa chini anakata majani yale yanayochomoza pembeni kwa kutumia mkasi na mafundi waliokuwa wanajenga wengine walikuwa wamevaa ndala.
 
Uwanja wa taifa ni nyasi halisia sio bandia nadhani ni kwa sababu pale michezo ya aina nyingi hufanyika, nadhani hata wembley stadium ni nyasi halisia.
 
Uwanja wa taifa ni nyasi halisi, ona uwanja wa uhuru
 
Unawazia mbali sana. Siku kama mbili kabla ya ufunguzi wa AFL niliona mtu amekaa chini anakata majani yale yanayochomoza pembeni kwa kutumia mkasi na mafundi waliokuwa wanajenga wengine walikuwa wamevaa ndala.
Hii comment imejibu swali la nyasi na zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…