Elections 2010 Kwanini Nyerere hakutishia "kumwagika damu" mwaka 1995?

mfa maji haachi kutapatapa...........hawa ndiyo ccm mahututi
 
Hayati Mwl JK Nyerere hakuwa na tamaa ya madaraka!! Serikali/Chama kilichopo madarakani wanazungumzia swala la kumwaga damu kwa sababu ya kutaka kuendelea kuwepo madarakani period
 
Hayati Mwl JK Nyerere hakuwa na tamaa ya madaraka!! Serikali/Chama kilichopo madarakani wanazungumzia swala la kumwaga damu kwa sababu ya kutaka kuendelea kuwepo madarakani period

Yeah right! Wajinga ndiyo waliwao. Mtu aliyekaa madarakani miaka 24 bila ya kutaka kupingwa kwenye uchaguzi wowote, alipiga marufuku vyama vya siasa, alipiga marufuku vyama vya wafanyakazi, alijaza watu ndani ya jela za Tanzania kama wafungwa wa kisiasa, aliwafunga viongozi wa vyama vya wafanayakazi, tulikuwa na wakimbizi wa kisiasa kibao wakati wa utawala wake, akaleta sheria ya kutia watu ndani bila ya kuwafikisha mahakani pindi alipopewa uongoz halafu leo mtu ana MAKENDE kutuambia kuwa Nyerere hakuwa na tamaa ya madaraka?

Kweli nchi imejaa WAJINGA! :A S 13:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…