Umemwona wapi huku JF? Unachanganyikiwa na avatar mkuu..Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
Abeee Daby
Abeee Daby
Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
Ooouh...kumbe ulishafungua eeh.Daby mbona mm pm yangu ipo wazi sihusiki kabisa na hii topic
mda sana ipo waziOoouh...kumbe ulishafungua eeh.
Mondray mnamuhangaisha saana
Hili tangazo ujuemda sana ipo wazi
kusema ipo wazi ndio tangazo DabyHili tangazo ujue
Kubwaaaa tena la millenniumkusema ipo wazi ndio tangazo Daby
hahahahhh ndio mje tufanye biashara kama anazosema mondrayKubwaaaa tena la millennium
Mimi sina biashara mimi. Nikija jua nakutongoza. Biashara kwani wewe soko?hahahahhh ndio mje tufanye biashara kama anazosema mondray
fungua na mimi niwe wa nne basiHata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima
Aiseee na husna unampeleka wapiMimi sina biashara mimi. Nikija jua nakutongoza. Biashara kwani wewe soko?
[emoji38]Dear women wazima??