Tatizo nin shemejTatizo sio utamu shemeji.
Tatizo moyo.Tatizo nin shemej
Endeleni kutoa vimacho kama kunguNisaidie kushangaa mama.
husna atakuja kujionea
Kwani moyo wako bado unasukuma watu shemeji sio damu?Tatizo moyo.
[emoji57][emoji57][emoji57]Tena jipu la kudumu, haliivi wala halitumbuki, linauma tuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabid uwe na moyo wa chuma kama wa husna kuwa naloTena jipu la kudumu, haliivi wala halitumbuki, linauma tuuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani moyo wako bado unasukuma watu shemeji sio damu?
Shemeji mimi nitayazika yangu na yako ya nyuma yote.
Haswaaaaa!! Bila ya hivyo utazikwa siku si zako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabid uwe na moyo wa chuma kama wa husna kuwa nalo
Tehteh haya buana ila ota yote haya.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chizi wewe!! Hebu kalale huko.
Usiku mwema.
Wewe....wewe....endelea tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabid uwe na moyo wa chuma kama wa husna kuwa nalo
sasa we unadhania PM ndio avatar hii nitamuonesha?? [emoji23][emoji23][emoji23]Kule ni real picture of mimi bhanana avatar hiyo sijui wanaanzaje kukupiga mizinga waache kumpiga Daby na avatar yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe....wewe....endelea tu
nitumie na mm ili nione nikupige kizingasasa we unadhania PM ndio avatar hii nitamuonesha?? [emoji23][emoji23][emoji23]Kule ni real picture of mimi bhana
Umeshanitonesha sasa kile kidonda changu ulivyotaja neno kizinga..nitumie na mm ili nione nikupige kizinga
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mipango ipo...
Husna ni mod mpya kaajiriwa au![emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Oooh kumbe!!! Lini sasa tunatumiana?
Mie hata sijui ni nani huyo mmakonde.
Ni private messageBado sijajua pm nini
[emoji57] [emoji57]Ole wako ukaseme wewe
UnAjidanganyaHuku mbali hafiki