Asante nimeelewa sasaNi private message
Umeelewa
Mimi sina biashara mimi. Nikija jua nakutongoza. Biashara kwani wewe soko?
Mi mwenyewe sijafunga ipo wazi kwa ajili yakoSi wote tunafungaa mbona
Bezikale nimependaa huu uitikaji! Hata kama ukikuwa na kosa nikaita ukaitika hivo nafuta kosa na kukwambia jiandae tutokeAbeee Daby
Bezikale nimependaa huu uitikaji! Hata kama ukikuwa na kosa nikaita ukaitika hivo nafuta kosa na kukwambia jiandae tutoke