Kwanini nyimbo za Alikiba hazina lyrics?

Kwanini nyimbo za Alikiba hazina lyrics?

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Alikiba ni msanii mkubwa sana ila sasa cha kushangaza nyimbo zake hazina lyrics kwenye platform kubwa kama app ya Musixmatch

Mwana muziki yeyote duniani anayejielewa na kujua anafanya nini lazma utakuta lyrics za nyimbo zake kwenye Musixmatch
Wasanii wadogo tu kama akina Marioo, Nandy, Aslay nk wote wanazo ila Kiba hakuna
Screenshot_2019-05-24-17-01-27.jpeg
Screenshot_2019-05-24-17-02-19.jpeg
 
Alikiba anafanya muziki kuridhisha fans wake!!

Ni kama anasukumwa vile... Na kazi ya kusukumwa na mtu/watu huwa ni "bora liende"
 
Sioni tofauti ya muziki wa Peter Manyika na muziki wa Ali Kiba.
Hawa ningewashauri waachane kabisa na microphone, wakaendeleze soccer academies kama na mpira nao umesha wakataa.
 
Back
Top Bottom