Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Mar 5, 2025 #1 Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa?
Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa?
Dr. Mariposa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 3,264 Reaction score 10,535 Mar 5, 2025 #2 Mmmh! kuna nyuki hapa nitawauliza
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Mar 5, 2025 #3 Superbug said: Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa? Click to expand... Research yako umeifanyia wapi?
Superbug said: Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa? Click to expand... Research yako umeifanyia wapi?