Siku hizi watu wanaweka camera mambo ya geti yamepitwa na wakatiKwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye nyumba hawaweki grill wakati kwenye madirisha Kuna vyuma vya kutosha.
Naamini Kuna mafundi humu wanaweza kueleza kitaalamu kwamba kwanini milango ya mbao iachwe yenyewe hata kama Kuna uzio na ulinzi wa kutosha Lakini mlango kubaki wenyewe sababu ni ipi haswaa.
Achana nao hao wanaoona ubahili kuweka milango miwili yaani wa mbao na grill alafu akaamua kuweka grill pekee nazungumzia nyumba ya kisasa ambapo mpaka imekuwa nyumba ya kisasa maana yake pesa zipo Lakini Tajiri kaamua kuacha mlanga wa mbao pekee ambao mlango wenyewe ukiuangalia vizuri ni wa gharama sana.Sio tu mlango wa mbao, pia wengine wanaweka milango fulani ya chuma au tuite bati gumu na ukiugonga unatoa sauti kama ya mbao.
Huo naozungumzia mimi sio grill.Achana nao hao wanaoona ubahili kuweka milango miwili yaani wa mbao na grill alafu akaamua kuweka grill pekee nazungumzia nyumba ya kisasa ambapo mpaka imekuwa nyumba ya kisasa maana yake pesa zipo Lakini Tajiri kaamua kuacha mlanga wa mbao pekee ambao mlango wenyewe ukiuangalia vizuri ni wa gharama sana.
Ishara ya neighbourhood isiyo salama.Kwa nini nyumba zinawekwa milango ya grill na madirisha ya grill??
Sijisifu ila kwangu nyumba nzima nimeweka camera.Nina uwezo wa kumuona kwenye screen yeyote hata kama usiku kwa angle zote nne za nyumba.Kama nakuelewa ivi maana yake usasa unazidi na kuzidi
Bado haujanielewa.Nimekuelewa mkuu wanafanya ivyo kubana matumizi ya pesa ili mlango wa mbao usiwepo
TV unalala nayo chumbani mkuu,kwenye uvungu wa kitanda,mambo yasiwe mengi.Jibu ni rahisi tu, pesa zinaleta confidence, nyumba ina ukuta mkubwa, electric fence na cctv camera kibao, ukiweka grill si ni uchafu tu!?,, Wala wezi hawahangaiki na nyumba za gharama sana, wanahangaika na nyumba za kipato cha kati, ambazo ukinunua TV inch 55, kila muda unashtuka usiku kuchungulia sebuleni kama ipo๐๐๐
Kwa ujenzi wa madarasa wa kisasa wanaagizwa kuweka dirisha la dharula linaloweza kutumika kama mlango. In case shit happens.Grill hata madirishani binafsi sipendi. Hivi moto ukizuka usiku ukaanzia mlangoni, mnapita wapi kujiokoa wakati kuna hayo madirisha ya grill kama magereza?. Unakuta hadi mashuleni madirisha yana grill, moto ukiwaka usiku wanafunzi wanafia ndani maana pa kutokea hakuna.
Na wezi target yao kubwa sio fridge wala nini, ni simu, laptop na Tv.TV unalala nayo chumbani mkuu,kwenye uvungu wa kitanda,mambo yasiwe mengi.
Umaskini na Vibaka . ulsya hakuna huu ujinga hata posta hakuna grillKwa nini nyumba zinawekwa milango ya grill na madirisha ya grill??