Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu
Spidi ya nyuzi za jukwaa hili la bzness hauwezi kulinganisha na majukwaa mengine kama MMU, Jit Chat, Mchanganyiko Siasa, Celebrity, Entertainment n.k.
Hii kidogo mimi inanishangaza maana tuna bizness community kubwa tu lakini ukiangalia nyuzi nyingi za hapa zinaenda mwendo wa konokono.
Tatizo ni nini hasa?
Je wafanyabiashara hawana muda wa kuingia humu mitandaoni au wanaingia na kwenda kwenye majukwaa mengine? na kama wanaingia na kwenda majukwaa mengine sababu itakuwa nini hasa?
Je tuna idadi kubwa ya waajiliwa ukilinganisha na wanaofanya bizness?
Ajabu saivi naona hata ukienda kule International linatembea mwendo wa ngiri sijui kwa sababu ya yanayoendelea hapo kwa majirani zetu au?