1) Sirini kuna lile joto ambalo husababisha unyevu muda wote.Rejea tu kichwa cha Habari na karibuni katika kuchangia.
Mbona mkuu umejibu ki panya road😀😀😀😀😀😀Mbona jibu rahisi sana za kwapani hazikuwi sana kwasababu zinapata hewa(mazingira hakuna joto sana,alafu jashoo hupita hapo Mara kwa mara,usumbufu wa jasho)ila za chini sasa...joto jingi(kwa ke;ana chupi,skentait,suruali kama Sio suruali,blauz alafu ndo gauni ama sketi....)kwa mme;(chupi au boxer,suruali tena unakuta imebanaaaaa kutwa nzima)
Hapa hakuna namna lazima ziote tuu...
Vuzi na kwapa zote ni sehemu za siri (hufichwa). Fanya utafiti mwingine.1) Sirini kuna lile joto ambalo husababisha unyevu muda wote.
2) Sirini kuna virutubisho fulani fulani abavyo ni mbolea tosha, ukiweza tumia vidole vyenye kucha jiukune utaona uchavu fulani hivi (NB Mbolea ni Uchafu & Vice versa)
3) Sirini zimefunikwa hivyo zimehifadhiwa, hakuna rabsha za hapa na pale, safe guaranteed
Umejibu nini sasa??Vuzi na kwapa zote ni sehemu za siri (hufichwa). Fanya utafiti mwingine.
jotoRejea tu kichwa cha Habari na karibuni katika kuchangia.
Kumbe "vyupi" ni green house!!Hata mimea iliyo kwenye green house inawahi kukuwa. Fikiri.
Mr Faru unaweza kufafanua na zile za mkunduni zina maintain temp kwa ajili ya nini ?Mbona jibu rahisi sana za kwapani hazikuwi sana kwasababu zinapata hewa(mazingira hakuna joto sana,alafu jashoo hupita hapo Mara kwa mara,usumbufu wa jasho)ila za chini sasa...joto jingi(kwa ke;ana chupi,skentait,suruali kama Sio suruali,blauz alafu ndo gauni ama sketi....)kwa mme;(chupi au boxer,suruali tena unakuta imebanaaaaa kutwa nzima)
Hapa hakuna namna lazima ziote tuu...
Jindal Singh unaweza kuekezea zile za mkunduni zinamaitain temp kwa ajili ya nini ? Au zina kazi nyingine ? Kama ipo ni ipo hiyo ?Kwasababu via vyako kwa uzazi vinahitaji kiasi fulani cha joto kwa muda uliokadiriwa, kwa kuwa kazi ya mavuzi (hakuna namna) ni ku mantain joto kwa ajili ya sperms hivyo pindi yanapopunguzwa ni lazima yarudi kwa ktk hari yake ya awali ili joto liwe katika kiwango chake lilicho kadiriwa. Kama uliuliza kwa kutakakujua basi fahamu hivyo, kama ulitaka ku challange watu basi hakuna asiyekujua wewe Genta.
Ha! ha! haya bwana!, ha! ha! asshole/butt hair/ nywele katika mkundi zinasaidia kupunguza usuguano wa mashavu ya mkundi, prevent chafing between your ass cheeks, hii ni science bwana hakuna kuona aibu.Jindal Singh unaweza kuekezea zile za mkunduni zinamaitain temp kwa ajili ya nini ? Au zina kazi nyingine ? Kama ipo ni ipo hiyo ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaweza hata Wewe hapo ukajiangalia kwani naamini zimekusheheni sana.
Za kichwani ni ku absorb ultra violet other radiations so that they don't reach and harm the brainNa ukijiuliza kwanini nywele za kichwani ni ngumu na zingine laini. Bado najiuliza kwanini unaweza kuziona nyingi sana za kule chini lakini ukinyoa sasa utafikiri kafungu ka mboga za majani.
Lililobarikiwa na kila kitu maana nini? Kweli mmebarikiwa na kila kitu.... Ujinga, maradhi, upumbavu, uchawi just to mention a few!Ulishaona Mafia wa Kinyarwanda tena wa Kabila lililobarikiwa kwa kila kitu la Kitutsi anaogopa au kutishwa na mikwara yako hii Mbuzi? Swine!
Nimekubali mkongweNywere za sirini..... hakuna kiswahili cha hivi...
Sema mavuzi