Pamejazwa manjagu hapo, wavae sare washindwe kufanya harakati vizuri?Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na sare zao ikionyesha kweli hii ni ofisi ya Air Tanzania.
Ofisi ya Air Tanzania hapa Mwanza haina tafauti na ofisi za kawaida ambapo hakuna utaratibu wa kuvaa sare. Igeni Mashirika mengine ya ndege kama Emirates, Kenya airways , Uganda airways.
Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na sare zao ikionyesha kweli hii ni ofisi ya Air Tanzania.
Ofisi ya Air Tanzania hapa Mwanza haina tafauti na ofisi za kawaida ambapo hakuna utaratibu wa kuvaa sare. Igeni Mashirika mengine ya ndege kama Emirates, Kenya airways , Uganda airways.
Halafu pana hewa nzito hatari, huwa hapawashwi AC, sijui wanaogopa luku kuisha [emoji15][emoji15] na wana very poor customer service. Unaweza kuingia unakuta hamna mtu, mpaka mlinzi awaite, yaani kuna ukienyeji flani hivi
Sehemu nyingi duniani mashirika ya ndege yameshafunga hizi ofisi za booking. Huduma inakuwa kwa mtandao au simu au wakala (wakala wenye ofisi nao wako wachache sana).Ninamheshimu sana Eng. Matindi CEO wa Air Tanzania. Kwa kweli uboreshaji ufanyike kwenye ofisi ya Air Tanzania, Tawi la Mwanza. Customer care is very poor. Nilifanya booking nilipoenda kukata tiketi kuna Dada moja kaniambia tayari booking yako imeishafutwa. Nikamueleza soma tarehe ya kuisha booking yangu, Akasoma tarehe ya kuisha booking yangu ni tarehe 9.2.2024 na mimi nimeenda pale tarehe 8.2.2024. Baadaye akaniuliza nani alikufanyia booking, swali lilinonikera sana. Nikamueleza siyo jukumu langu mimi ni mteja wenu. Nikamshangaa sana. Is that lady trained?. Inavyoonekana Air Tanzania mna monopoly na ingekuwa mna ushindani msingepata wateja. Tunawaomba boresheni huduma zenu na muonekane kama kweli nembo ya nchi.
Huko online ndo changamoto site yao haifunguki nipo najaribu kukata ticket lakini na penyewe ni holaSehemu nyingi duniani mashirika ya ndege yameshafunga hizi ofisi za booking. Huduma inakuwa kwa mtandao au simu au wakala (wakala wenye ofisi nao wako wachache sana).
ATCL mzingatie hili.Au huwa mnajamba ofisini?Not healthy!Halafu pana hewa nzito hatari, huwa hapawashwi AC, sijui wanaogopa luku kuisha 😳😳 na wana very poor customer service. Unaweza kuingia unakuta hamna mtu, mpaka mlinzi awaite, yaani kuna ukienyeji flani hivi