Kwanini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron?

Pitin aache kulialia hovyo na wenzake nuclear wanazo tena zilizoboreshwa vita ikianza yy ndio atafutika mazima
Kwa Geography ya Urusi na Ulaya ngumu kuitarget Urusi compare na Ulaya. Ulaya Ndogo na watu wamejikusanya sehemu moja, Urusi kubwa na watu wametawanyika, eneo Pekee la Urusi ambalo ni kama Ulaya ni Moscow.

Pia Ulaya Nzima makombora yao yenye uwezo wa kuvuka Bara ukiyajumlisha yote hayamfikii mrusi.

Jambo jengine hao wenye Nguvu Ulaya wapo Magharibi, baina ya Ufaransa, Uingereza, Ujerumani etc na mrusi kuna Nchi nyingi mno, Mungu Aepushe ila ikitokea hio Vita ya nyuklia kuna Vi nchi vitachakazwa hao wakubwa watajilinda ila hivyo vinchi vidogo vya Ulaya ndio vitakua uwanja wa Mapambano.


Hii Ramani inaonesha vizuri Mahala ambapo Nyuklia zipo
 
Putin anatumia nyuklia kuitisha NATO.

ila Putin sio mjinga kiasi cha kutumia Nyuklia kwenye huu mzozo m
 
Uchumi wa Urusi umekua ndio, ila kwenye Uchumi kuna law moja ya Diminishing return na Urusi yupo kwenye stage ya "increasing at a decreasing rate" kwamba Uchumi unakua ila kiwango cha kukua kimeshuka.

Compare na hao wakubwa wa Ulaya kama Ujerumani na Uingereza Urusi ana hali nzuri.
 
Urusi mwenye vifaa vya mwaka 80 kushuka chini anataka kushindana na watu wenye vifaa vya 2024
 
Anatania vita vya nuclear vitaifuta Rudia na NATO, kama anataka kuwatoa kafara warusi afyatue hayo makombora.

Rusia ana nuclear ziko wazi wazi
USA ana nuclear ila mambo mengi wanaficha
UK ana nuclear
Ufaransa ana nuclear
Israel ana nuclear
Hata hao NATO hawaaminiki wanaweza kuwa na silaha za siri. Pia hata hizo nyukilia hakika zikianza kupigwa utashangaa hazifiki zote kwenye ardhi ya USA, kipindi Rusia anahangaika na nchi za Ukanda utashangaa USA kashamaliza michezo
 
Akili Kisoda
 
Unachambua haya kutokea wapi pentagon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…