Asante mkuu.Paracetamol, aspirin na vituliza maumivu vingine (painkillers) haziponyi magonjwa bali hupunguza maamivu kwa muda, kwanini?
Painkiller km paracetamol zimetengenezwa kitaalamu kuingilia (interfere) na kuzuia (to block ) njia (channels) na vitoa taarifa (signals) vya ubongo. Hivyo paracetamol inazuia ubongo kutoa tafsiri ya maumivu, hivyo mgonjwa kutokuhisi maumivu hadi muda wa zile dawa kuisha nguvu ndipi ubongo unaendelea na kazi yake yakutafsiri na kutoa taarifa juu ya sehemu za mwili zenye hitilafu.
Ukitumia paracetamol au kidhibiti maumivu chochote (painkillers) usisahau kwenda hospitali kwakudhani umepona!
Paracetamol, aspirin na vituliza maumivu vingine (painkillers) haziponyi magonjwa bali hupunguza maamivu kwa muda, kwanini?
Painkiller km paracetamol zimetengenezwa kitaalamu kuingilia (interfere) na kuzuia (to block ) njia (channels) na vitoa taarifa (signals) vya ubongo. Hivyo paracetamol inazuia ubongo kutoa tafsiri ya maumivu, hivyo mgonjwa kutokuhisi maumivu hadi muda wa zile dawa kuisha nguvu ndipi ubongo unaendelea na kazi yake yakutafsiri na kutoa taarifa juu ya sehemu za mwili zenye hitilafu.
Ukitumia paracetamol au kidhibiti maumivu chochote (painkillers) usisahau kwenda hospitali kwakudhani umepona!
Mimi ni daktari ndio na ninakubaliana na critiques za kitaalamu, karibu sanaMhh,mkuu wewe ni daktari kweli?Hivi ndivyo Aspirin na Paracetamol zinafanya kazi?
Wataalammu wa Afya naombeni kufahamu hii dawa paracetamol au pain killer. Ni kwanini hutumika kumaliza maumivu na si tiba.
Na kwanini imalize maumivu isitumike kutiibu kabisa, ?? Nashindwa kuelewa kutoa maumivu na kutibu. Na chaajabu hutumika almost kwa magonjwa yote. Karibuni tufahamishwe
Kama humuamini, nenda kamuulize makonda. Nasikia ana cheti cha udaktari.Mhh,mkuu wewe ni daktari kweli?Hivi ndivyo Aspirin na Paracetamol zinafanya kazi?
Uko mbali sana na swali la Mdau, jamaa anataka kujua mechanism ya ufanyaji kazi wa Paracetamol!Maumivu sio ugonjwa.Ni ishara ya ugonjwa .Tukiutibu huo ugonjwa maumivu pia huondoka.Wakati tunautibu ugonjwa uletao maumivu tunayatuliza yasiendelee kumtesa mgonjwa
Mfano:Mtu ana malaria.Anapata maumivu ya kichwa.Panadol inatuliza maumivu ya kichwa na ALU inaua parasite wa malaria.Malaria ikipona hakuna tena maumivu
Mimi ni daktari ndio na ninakubaliana na critiques za kitaalamu, karibu sana
Nadhani Mkuu hujanielewa vyema, sijasema zinaingilia signal kwenye ubongo bali nimesema, zinablock hizi kemikali/homone za mwili zinazobeba taarifa (prostaglandins) zishindwe kusisimua peripheral pain receptors zishindwe kutuma taarifa za maumivu kwenda kwenye CNS.Ngoja niseme ulikua unamuelezea layman ndio maana ukatumia hiyo lugha lakini najua unajua NSAIDs hazifanyi kazi kwa kuingilia signal transmission in the brain
Zipo zinazofanya hivyo ila sio aspirin na paracetamol
Kwa hiyo hizo painKiller ni kama pombe kutuliza stressMaumivu sio ugonjwa.Ni ishara ya ugonjwa .Tukiutibu huo ugonjwa maumivu pia huondoka.Wakati tunautibu ugonjwa uletao maumivu tunayatuliza yasiendelee kumtesa mgonjwa
Mfano:Mtu ana malaria.Anapata maumivu ya kichwa.Panadol inatuliza maumivu ya kichwa na ALU inaua parasite wa malaria.Malaria ikipona hakuna tena maumivu
samahani nina swali pia..Paracetamol, aspirin na vituliza maumivu vingine (painkillers) haziponyi magonjwa bali hupunguza maamivu kwa muda, kwanini?
Painkiller km paracetamol zimetengenezwa kitaalamu kuingilia (interfere) na kuzuia (to block ) njia (channels) na vitoa taarifa (signals) vya ubongo. Hivyo paracetamol inazuia ubongo kutoa tafsiri ya maumivu, hivyo mgonjwa kutokuhisi maumivu hadi muda wa zile dawa kuisha nguvu ndipi ubongo unaendelea na kazi yake yakutafsiri na kutoa taarifa juu ya sehemu za mwili zenye hitilafu.
Ukitumia paracetamol au kidhibiti maumivu chochote (painkillers) usisahau kwenda hospitali kwakudhani umepona!
Hii ni Chemistry ya kitaabibu, mechanism ni ndefu ila nitakuelekeza kwa ufupi.samahani nina swali pia..
kipi kinafanya dawa iende sehemu husika kwenye mwili(panapouma) au husambaa mwili wote..?
Asprin Says Thank You Vella For This Useful Post.Hii ni Chemistry ya kitaabibu, mechanism ni ndefu ila nitakuelekeza kwa ufupi.
Dawa unapomeza, ama kutundikiwa, inapenya kwa kufyonzwa na kuingia kwenye membrane mbali mbali za oragan na tissue, kisha kwenye mfumo Wa damu, hormone zinazohusika na mabadiliko ya mwili zinapokea nakupeleka sehemu husika(panapoumwa) lakini haimanisha dawa yote unayotumia inaenda sehemu moja, hapana, dawa zinasambazwa kwa kiwango kidogo kidogo kwenda kila sehemu ya mwili hadi pale itakapopata tatizo. Inagawanjwa katika viwango vidogovidogo sana ila sio lazima viwango vilingane.
Angalizo: Dawa yote unayitumia ingekuwa inaenda srhemu husika yenye tatizo maana yake mtu angekuwa anapona kwa muda mfupi na kwa kiwango kidogo cha dose. Kwakuwa inasambazwa hata sehemu nyingine ambazo haziumwi ndio maana mtu hupewa dawa atumie kwa siku kadhaa.
Tofauti na minyoo ambazo hukaa kwenye tumbo au utombo, mtu akipewa dawa zinaenda direct kukutana na wadudu na ndio maana dose yake ni simple.
Asprin Says Thank You Vella For This Useful PostNadhani Mkuu hujanielewa vyema, sijasema zinaingilia signal kwenye ubongo bali nimesema, zinablock hizi kemikali/homone za mwili zinazobeba taarifa (prostaglandins) zishindwe kusisimua peripheral pain receptors zishindwe kutuma taarifa za maumivu kwenda kwenye CNS.
Hata hivyo kuna Painkillers nyingine ambazo zinatumika kutuliza maumivu makali sana mf. ya kwenye mishipa mfano ni narcotic opioid drugs. Hizi ni heavy duty drugs k.v morphine and codeine zinatumika kutibu maumivu makali sana ya mwili (severe pain) hizi dawa zinablock sio tu prostaglandins bali hata homoni inayobeba taarifa za mwili (Neurotransmitter) ishindwe kupeleka taarifa za maumivu ubongoni.
Hizi ni hatari maana wakati mwingine km zitatumiwa bila ushauri sahihi Wa daktari zinaweza kusababisha vijitabia vya ajabu ajabu kwa mgonjwa.
Uko sahihi mkuu. Swali ni jinsi gani paracetamol inatuliza maumivu na sio kutibuUko mbali sana na swali la Mdau, jamaa anataka kujua mechanism ya ufanyaji kazi wa Paracetamol!