RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Tanzania ni nchi ngumu sana kuishi kwa watu wanaojielewa yaani ukitafuta majina ya walioitwa kwenye usaili wa uboreshaji wa daftari la wapiga KURA mwaka huu kwenye website nyingi za halmashauri mbalimbali nchini utakutana tu na barua ya watu kuitwa kwenye interview tu na
Hautokuta pdf yenye list ya majina ya hao watu walioitwa yaani majina yanafichwa kama bangi vile sijui izi halmashauri zetu zipoje aisee yaani pdf zipo ila kuziweka ndo shida sijui wanaficha nini sasa zaidi ya uhuni uhuni
website pekee niliyokuta majina ni halmashauri ya Kahama nakumbuka ila nyingi majina yamefichwa kama na wanaitana naskia kwa kutumiana meseji,kama kuna mtu anabisha akaangalie kwenye web za halmashauri kadhaa kama BUMBULI kwa kipara n HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO nk