Kwanini Pele hajawa kocha

Rolandi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Posts
919
Reaction score
490
Pele ni mchzaji mzuri wa zamani lakini hakuna historia ya yeye kua kocha kama akina Zizo na wengine
 
Pele hawez kuwa kocha sababu yeye alicheza mpira ambao leo hii ukimuhadithia mtu unakuwa kama unahadithia kichekesho
 
....ukocha noma,ila aliwahi kuwa bonge la mtabiri,wazee wa kubeti walikuwa wanamsumbua sn awatengenezee mikeka!!
 
Reactions: PNC
Pele hawez kuwa kocha sababu yeye alicheza mpira ambao leo hii ukimuhadithia mtu unakuwa kama unahadithia kichekesho
We jamaa hujui kabisa mpira. ...unamjua mtu anaitwa mario zagallo?(najua we ni kinda hivyo huwezi mjua)...Mario alikuwa kocha wa Brazil mwaka '70 Pele akiwa mchezaji na kuinyanyua ndoo kwa mara ya tatu. .....Mario tena akiwa kocha msaidizi mwaka '94 hapo USA akachukua tena ndoo. ......sasa nenda kafanye research ya nani kacheza mpira zamani kati ya zagallo na Pele kama kigezo chako ni kuangalia Muda
 
Mario zagalo"famigunha"khabari zake nzito huyo.mwaka 94 akiongozwa na Carlos arbeto pereirra duh waqt umekwenda.
 
Ukocha kazi ngumu
muulize Gary Neville ...siku alipopigwa 7- 0 na Barca yeye akijifanya kocha wa Valencia..
hadi wamemtimua
 
Reactions: PNC
Sawa mkuu naweza kuwa mpira siujui ila hebu nitajie hyo miaka Pele aliyochukua ndoo ya kombe la dunia mara 3?
NATANGULIZA SHUKRANI KWAKO MWALIMU[emoji144] [emoji144]
 
Sawa mkuu naweza kuwa mpira siujui ila hebu nitajie hyo miaka Pele aliyochukua ndoo ya kombe la dunia mara 3?
NATANGULIZA SHUKRANI KWAKO MWALIMU[emoji144] [emoji144]
Mwaka 1958,1962 na 1970
 
Reactions: PNC
Ukocha kazi ngumu
muulize Gary Neville ...siku alipopigwa 7- 0 na Barca yeye akijifanya kocha wa Valencia..
hadi wamemtimua
Huyu Gary Neville alikuwa akiwaponda sana makocha wa Epl, ila kapewa timu wakaona isiwe shida wakamchapa goli 7-0 ili siku nyingine ashike adabu.
 
Mwaka 1958,1962 na 1970

Wewe ndio 0 kabisa na wala hujui historia ya football.....are u sure pele ameisaidia timu yake kubeba 3 world cups? 1962 alikuwa majeruhi! In-short hakucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…