Kwanini pesa za zamani hasa enzi za Kikoloni zilikuwa ni Saraf?

Kwanini pesa za zamani hasa enzi za Kikoloni zilikuwa ni Saraf?

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Wana bodi salam !


Kwa wale waliopata kusimuliwa habari mbalimbali za zamani hasa enzi za Ukoloni
kuna hili suala la Rupia na aina mbalimbali
ya fedha zinatajwa kuwa ni sarafu.


Wengi wa watu utasikia wakisimulia kwenye
Mlima ule/sehemu ile ina masanduku labda
ya pesa,sasa unauliza utaambiwa ni sanduku
la sarafu ila namna ya kulibeba ama kuchimba
ndiyo huwa kazi mno.


Ninapenda kujuzwa na wana bodi wanalijua
mno jambo hili. Enzi za Ukoloni sarafu ilikuwa
ni pesa pekee hakukuwa na noti kama sasa.

Je? Hizi imani za kuwa sehemu fulani kuna
aidha pesa ziliwekwa na Wajerumani/Waarabu
na watu wa maitafa mbambali ni kweli ama
imani tu za Watu.


Pia kama kuna mtu aliyewahi kuona sehemu
za aidha porini ama majumba ya kale zilimo
hifadhiwa sarafu hizo.

Tafadhali wana bodi karibuni ili tuweze Elimika.
 
Nafikiri hata mazingira ya wakati huo yalichangia
 
Kwanza unaposema zamani unamaanisha kipindi gani?.
Ila kwa haraka haraka mazingira ya miaka hiyo yalichangia sana. Sehemu au usalama wa kutunza pesa hzo ulikua mkubwa kuliko ingalikuwa ni pesa za noti


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom