Kwanini picha za zamani zina mvuto kuliko za sasa?

Akilimali22

Senior Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
168
Reaction score
90
Wadau nimegundua kila zinapotumwa picha za zaman huwa zinaleta hisia na gumzo hivi mtaalamu wa akili unaweza kutuambia ni kwa nini inakua hv kwa sababu wengine mpaka wanalia kwa kuangalia tu picha za zamani..
 
kwakuwa tayari umeiweka hii kuwa tetesi sitaijadili,ila ikifika sehemu ukawa na uhakika nitafute nitakupa sababu ni kwanini.
 
KWA SABABU WACHACHE KWENYE PICHA WANA ALAMA YA X
 
Picha bi ukumbusho Kama mazingira na mavazi uliyo vaa ni ya heshima
 
umeongea jambo jema,

nijuavyo mm ni kuwa ikija kutokea taswira yako ya maisha ya baadae haioani na uhalisia. hisia /feeling zako unakuwa huwezi kuzidhibiti, na machozi yanatoka involuntary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…