Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau kumekuwa Na Tabia ya Polisi kumkamata Mtu na ndugu na Jamaa zake Wakitaka kujua sababu ya ndugu yao kukamatwa na Alipo POLISI HUKATAA kuwa hawajamkamata na Baya zaidi hata Mahakamani hawampeleki kwa Mujibu wa Sheria.Je ni Sheria gani wanayotumia Polisi kufanya hivyo? Na kama ni Sheria mbona Watu wakienda Mahakamani kuomba Mahakama iliagize Jeshi la Polisi Aliyekamatwa kuletwa Mahakamani Polisi humleta kwanini hawagomi?