Kwanini Polisi Wamemkamata Nabii Tito wakati 2018 walimuachilia kwamba ana matatizo ya akili?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.

Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM.

Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025, Waziri Gwajima akasema Polisi wamkamate. Ni aibu sana.

Hakimu aliagiza Serikali wakamtibie bure, kwanini hawakumpeleka Hospitali?

Polisi hao hao ndo walimchafua ana matatizo ya akili. Leo baada ya kutukanwa Mzanzibar Samia, wamemkamata na Kutoa Presa release ili Samia awasifie wanafamya kazi.

Mnakamata Chizi?🤣🤣

Zamani walikuwa wanamtumia kutukana watu, Kibao kimewageukia wamemkamata. Wiki tu atakuwa Uraiani sababu Polisi ndo walisema ana matatizo ya akili

Thread 'DODOMA: Nabii Tito afutiwa mashtaka baada ya kubainika ana matatizo ya akili' https://www.jamiiforums.com/threads...a-ya-kubainika-ana-matatizo-ya-akili.1432632/
 
Tito na machizi wenzake wanacheza uwanjani.ila mungu Tito awe makini na hao polisi.Wanammendea wamfire.
 
 

Attachments

  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 15
Hata huko sero walikomweka atakuwa anawaporomoshea matusi tena zaidi ya yale ya instagram!
 
Muda huu nabii Tito anajifanyia usafi baada ya mapolisi kumaliza kumfanyia kama mwandambo
 

Attachments

  • FB_IMG_1786569040725.jpg
    25.4 KB · Views: 16
Mimi nashauri waaimkamate na kumpeleka Kiituo cha Polisi, bali nashauri kwakuwa ni "Mgonjwa wa akili" basi apelekwe moja kwa moja Hospitali ya Mirembe na akae huko hadi maktari wake watakapom declare is mentally fit!
 
Kwa hali tulipofikia hata viziwi nao watatukana. No way out
 
Kwenye banana republics ndio wanasiasa huwa wanawaamuru police kukamata watu kiholela tu.
 
Project hiyo msipoteze muda wenu kuhangaika na habari za huyo anaye jiita nabii TIto
 
La uchizi inaweza kuwa kweli. Ana mdomo mchafu sana bila kujali nani yupo na ataharibu hali ya hewa kw kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…