Kwanini Polisi Wamemkamata Nabii Tito wakati 2018 walimuachilia kwamba ana matatizo ya akili?

Usishaiu kwamba kichaa akikuibia nguo wewe ukamkimbiza uchi kudai nguo zako kunakuwa na vichaa wawili wanakimbizana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…