GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Jeshi la Polisi limekuwa likilaumiwa kuendesha baadhi ya oparasheni zake "kitekaji". Unakuta mtuhumiwa kakamatwa eneo fulani na kutokujulikana aliko kwa siku kadhaa.
Kama hiyo haitoshi, hata Polisi wanapoulizwa hukana kumshikilia mwathirika.
Mpaka sasa kuna tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusika kuwakamata watu kadhaa ambao tokea wakamatwe haijulikani walikopelekwa.
Lakini kwa mujibu wa PGO, askari Polisi anapaswa kujitambulisha kabla ya ukamataji.
Kama utaratibu ni huo, kwa nini Polisi wangali wakilaumiwa?
Labda:
1. PGO haijitoshelezi?
2. Raia siyo waelewa?
3. Polisi hawaielewi PGO?
4. Polisi wanakiuka PGO kwa makusudi?
5. Kuna mazingira yanayowalazimu kutokuifuata PGO?