Kwanini pombe kali inalazwa tu na sio kusimamishwa?

Kwanini pombe kali inalazwa tu na sio kusimamishwa?

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
Habari wakubwa,

Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu mnaofahamu zaidi mtujuze
 
Mbwembwe Tu, walikuwa na Ile notion ya kupiga kitako cha chupa ndo ufungue, now wamekuja na hiyo..mostly huwa tunalaza ili kujifucha watu wasijue
 
Mbwembwe Tu, walikuwa na Ile notion ya kupiga kitako cha chupa ndo ufungue, now wamekuja na hiyo..mostly huwa tunalaza ili kujifucha watu wasijue
Sawa kwa kweli
 
Back
Top Bottom