Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 909 Reaction score 1,717 Jul 23, 2024 #1 Habari wakubwa, Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu mnaofahamu zaidi mtujuze
Habari wakubwa, Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu mnaofahamu zaidi mtujuze
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jul 24, 2024 #2 wamelala ngoja waamke mi nipo napiga doria
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Jul 24, 2024 #3 Mbwembwe Tu, walikuwa na Ile notion ya kupiga kitako cha chupa ndo ufungue, now wamekuja na hiyo..mostly huwa tunalaza ili kujifucha watu wasijue
Mbwembwe Tu, walikuwa na Ile notion ya kupiga kitako cha chupa ndo ufungue, now wamekuja na hiyo..mostly huwa tunalaza ili kujifucha watu wasijue
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 24, 2024 #4 Na tukimaliza vyupa hatufuniki
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 909 Reaction score 1,717 Jul 24, 2024 Thread starter #5 fundi bishoo said: wamelala ngoja waamke mi nipo napiga doria Click to expand... Huku Arusha ukisema unapiga doria tunajua unasoma ramani
fundi bishoo said: wamelala ngoja waamke mi nipo napiga doria Click to expand... Huku Arusha ukisema unapiga doria tunajua unasoma ramani
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 909 Reaction score 1,717 Jul 24, 2024 Thread starter #6 Trubarg said: Mbwembwe Tu, walikuwa na Ile notion ya kupiga kitako cha chupa ndo ufungue, now wamekuja na hiyo..mostly huwa tunalaza ili kujifucha watu wasijue Click to expand... Sawa kwa kweli
Trubarg said: Mbwembwe Tu, walikuwa na Ile notion ya kupiga kitako cha chupa ndo ufungue, now wamekuja na hiyo..mostly huwa tunalaza ili kujifucha watu wasijue Click to expand... Sawa kwa kweli