Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Kwenu Halmashauri ya mji wa Kibaha, kituo cha utafiti sukari Tumbi na shule ya sekondari Tumbi, kwanini pori linalohifadhi mazingira linachafuliwa kwa kumwagwa uchafu wa taka ngumu, miti inakatwa ovyo na moto unachomwa ovyo bila kizuizi chochote?