Kwanini Prison haina mashabiki Mbeya!?

Kwanini Prison haina mashabiki Mbeya!?

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga Zuchu!?
Anyway hadi Sasa Selemani Mwalim ndie George Mpole wa msimu msimu uliopita alikuwa waziri junior
 
Timu haijihusishi na wananchi
Wangetoa hisa kadhaa Kwa wananchi tofauti na umiliki wa Jeshi
 
Timu imejiweka mbali na wananchi, wawe wanawachukua wafungwa labda
 
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga Zuchu!?
Anyway hadi Sasa Selemani Mwalim ndie George Mpole wa msimu msimu uliopita alikuwa waziri junior
Kuna msimu walihamia Sumbawanga na kule walipata mashabiki sijui kwanini waliondoka.
 
Timu haijihusishi na wananchi
Wangetoa hisa kadhaa Kwa wananchi tofauti na umiliki wa Jeshi
Meneja anasema Sasa wameanza huo utaratibu na watu wanakaribishwa kuwekeza ila muwekezaji mkuu anabaki kuwa magereza tz
 
Naona hapa fountain wanawapelekea moto sio poa goli la 2 kwao prison Wana 1
 
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga Zuchu!?
Anyway hadi Sasa Selemani Mwalim ndie George Mpole wa msimu msimu uliopita alikuwa waziri junior
Wakishinda mara kwa mara mashabiki wataongezeka hata jezi watanunua kwa wingi
 
Msimu uliopita wameshinda sana
Labda team haijibrand sana mkoani mbeya si unajua wanyaki wanapenda kunyenyekewa na askari hajui kunyenyekea ukija sawa hutaki acha SA inawacost
 
Ila prison nayo iko mbali na mjini hata hivyo kama ulivyo sema branding ni muhimu ina kosa owneship ya wananchi
 
Mbeya kuna shida...

Prisons ikipelekwa Kigoma, Tabora, Singida au Dodoma itapata mashabiki wa kutosha...
 
Back
Top Bottom