Kwanini Putin aliamua kuwa kapera/bachela?

Utakuta wewe hapo una mke na watoto labda hata wake unao na michepuko juu. Na baba yako asingekuwa na mama yako usingeonekana kabisa. Watu kwa unafiki hamjambo.

Putin hayo ni madhaifu yake tu na wala sio cha kumsifia.
Kaolewe wewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…