Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Wadau habari za muda huu
Hili suala la Polisi kutuomba gharama za kumkamata mtuhumiwa kisheria likoje?
Kwanini gari la polisi halina mafuta muda wote mpaka pale tu raia atakapoenda kuhitaji huduma itakayohusisha ukamataji unaotakiwa gari ndiyo aombwe pesa za kutia mafuta?
Je kodi na faini zinazotozwa hazitoshi kuweka mafuta ya gari na gharama zingine ?
Suala hili kiukweli huwa linaleta maudhi sana na nchi inakuwa kama inaendeshwa kihuni.