Kwanini Raila anaweweseka na kifo cha mzee Mutula kilonzo

Kwanini Raila anaweweseka na kifo cha mzee Mutula kilonzo

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,147
BREAKING NEWS!!!

A Kenyan journalist in UK has reported that former Prime Minister Raila Odinga on monday met the private anthropologist hired by Mutula kilonzo family at a London hotel before the doctor left for Kenya.

Though the details of the meeting were not disclosed.... the meeting indicated a wider conspiracy to cover the actual cause of the Makueni Senator or even try and frame the Govt of mistrust and murder

Je Raila anahusika katika mpango mzima wa kumlwakatare mzee Kilonzo????!!

Maswali mengi kuliko majibu lakini yote yanaweza kuwa majibu,tusubiri.
 
Yule ni CORD mwenzake na alikuwa ni wakili wake wa CORD, inawezekana anaweweseka (kama unavoona wewe ) kwa sababu huenda anahisi au ameona au amegundua kuwa huenda zile njama zilizo wapoteza akina Ouko na wapenda haki wengine wa Kenya zineanza upya. Si una jua muungano wa Jublee ni muungano wa iliyokuwa serikali ya Mzee na yule Mzee wa pili?
 
Mutula Kilonzo was a Raila's close friend by the time, halafu walikuwa kundi moja kama hujui. Hata binti yake Kethi Kilonzo advocated the cord's election petition.

Kabla ya kifo chake Kilonzo alifanya kazi ofisini kwake hadi saa 6 usiku, alipoenda home ndo asubuhi yake akakutwa amefariki.

Kwa mujibu wa postmortem Laywer Kilonzo alipata heart attack kilichomsababishia kifo chake
 
Lakini Jubilee Coalition youth League wao wanaamini tofauti na nyie katika suala hilohilo

[h=5]RAILA,MUTHAMA,KALONZO&MWAU
ARE THE MURDER SUSPECTS

Mutula Was Poisoned Says Family Source

Sources including Standard Group's Kenya Televison Network (KTN ) have revealed that
traces of poison were found on Mutula Kilonzo's liver during the autopsy.

Family sources and a doctor involved in the investigations hinted that tests for lethal
poisons are being conducted including the slow killer Polonium 210.

KTN also announced in a news bulletin that the government team that was involved in the
autopsy has refused to send his body samples to the UK for analysis.

A team of seven pathologists among them a Briton who was hired to perform the autopsy
took 52 samples for an independent analysis.

"No sample will be taken out of the country as all the samples collected can be analysed
locally," Government pathologist Johansen Oduor.

Polonium 210 is a deadly radiation poison and it is the same poison that was used used
to kill Alexander Litvinenk, a KGB agent- turned-Kremlin critic in London in 2006.

Traces of the poison was also on the late Palestinian leader Yasser Arafat's clothes he is said to have worn before his death.

Reports received after Mutula Kilonzo's death stated that the Senator had vomited on his
sink earlier on in the fateful night.

The police had also indicated that investigations were looking into the poison theory and the
investigations were centered on food samples around the Senator's home.

Mutula's family is locked in a dispute over the late senator's burial site. Mutula's family
yesterday met to resolve the dispute.

Mutula's current wife wants him to be buried in Maazoni where he was living while other family members want him to be laid to rest in Mbooni where his parent come from...[/h]
 
Inasemekana Mutula Kilonzo alishasema anazo taarifa za muhimu sana ambazo alikusudia kuzitoa kama ushahidi huko ICC -The Hague, Wengi wanasema ushahidi huo ulimlenga moja kwa moja na Ungesababisha Odinga kuingia hatiani.
 
Lakini Jubilee Coalition youth League wao wanaamini tofauti na nyie katika suala hilohilo

[h=5]RAILA,MUTHAMA,KALONZO&MWAU
ARE THE MURDER SUSPECTS

Mutula Was Poisoned Says Family Source

Sources including Standard Group’s Kenya Televison Network (KTN ) have revealed that
traces of poison were found on Mutula Kilonzo’s liver during the autopsy.

Family sources and a doctor involved in the investigations hinted that tests for lethal
poisons are being conducted including the slow killer Polonium 210.

KTN also announced in a news bulletin that the government team that was involved in the
autopsy has refused to send his body samples to the UK for analysis.

A team of seven pathologists among them a Briton who was hired to perform the autopsy
took 52 samples for an independent analysis.

“No sample will be taken out of the country as all the samples collected can be analysed
locally,” Government pathologist Johansen Oduor.

Polonium 210 is a deadly radiation poison and it is the same poison that was used used
to kill Alexander Litvinenk, a KGB agent- turned-Kremlin critic in London in 2006.

Traces of the poison was also on the late Palestinian leader Yasser Arafat’s clothes he is said to have worn before his death.

Reports received after Mutula Kilonzo’s death stated that the Senator had vomited on his
sink earlier on in the fateful night.

The police had also indicated that investigations were looking into the poison theory and the
investigations were centered on food samples around the Senator’s home.

Mutula’s family is locked in a dispute over the late senator’s burial site. Mutula’s family
yesterday met to resolve the dispute.

Mutula’s current wife wants him to be buried in Maazoni where he was living while other family members want him to be laid to rest in Mbooni where his parent come from...[/h]

Jubelee Youth Coaliation wana akili. Kama za MaUVCCM
 
siasa za maji taka za cdm na ccm@work........

Mkuu, najua lengo lako nizuri hapa- jf wajadiri mada iliyoko, lakini usizuie mlinganyo wa siasa za vyama hivi ktk nchi hizi. After all, tunajadili ili iweje kama si kujifunza from the past of our neighbouring countries.
 
[h=5]BREAKING NEWS!!!
A kenyan journalist in UK has reported that former Prime Minister Raila Odinga on monday met the private anthropologist hired by Mutula kilonzo family at a london hotel before the doctor left for kenya.
Though the details of the meeting were not disclosed.... the meeting indicated a wider conspiracy to cover the actual cause of the makueni senator or even try and frame the govt of mistrust and murder
[/h]Je Raila anahusika ka

dada yangu Kim, kwa heshima na taadhima naomba ufute hilo neno "kumlwakatare"
natumai wewe una utu kama mimi.
 
Investigation now reveal there was a mysterious visitor at ranch on fateful day and that police found unnamed bottle of pills by bedside. Mysterious visitor- a woman? Pills? My guess is as good as yours. Source The Nation newspaper.
 
Chadema inahusika katika Kifo Kilonzo.
 
Ikitokea kuwa alikuwa na binti fulani itatayaharisha sana, ukweli kama ni huyo na usitolewe basi.
 
Hata kama walikua katika Muungano mmoja wa CORD, Mutula alikua anapinga sana Kurudi kwa Raila na Musyoka kwa Bunge, lakini hii si kusema ati walihusika na kifo cha huyu bwana..
 
[h=5]BREAKING NEWS!!!
A kenyan journalist in UK has reported that former Prime Minister Raila Odinga on monday met the private anthropologist hired by Mutula kilonzo family at a london hotel before the doctor left for kenya.
Though the details of the meeting were not disclosed.... the meeting indicated a wider conspiracy to cover the actual cause of the makueni senator or even try and frame the govt of mistrust and murder
[/h]Je Raila anahusika ka

dada yangu Kim, kwa heshima na taadhima naomba ufute hilo neno "kumlwakatare"
natumai wewe una utu kama mimi.

Siasa za Africa bwana! Kuuana badala ya kusaidia wananchi
 
Ikitokea kuwa alikuwa na binti fulani itatayaharisha sana, ukweli kama ni huyo na usitolewe basi.

Dhuks huyo Mutula alikuwa mtu wa ajabu,katika hiyo ranch yake ambako amejenga hekalu la kifahari,tumesoma kwenye Sunday Nation kuwa hakuna mwana familia yoyote aliyewahi kufika au kuruhusiwa kwenda hiyo maskani,hata mke wake hakuwahi kwenda huko,nachojiuliza kweli mtu una makao halafu mkeo usimruhusu hata kufika haapo nyumbani,hata watoto pia hawakuruhusiwa ,je huyo mzee alikuwa ana fanya mambo gani akiwa huko kwenye simba wake,ni ajabu mjumba wote ule mtu eti asiwe na familia yake.Kwa amara ya kwanza kilipotangazwa kifo chake ,kwa kutojjua kwangu niliuiza humo JF iweje mtu kama Mutula afe peke yake,e familia yake ilikuwa wapi na kwa wengi ukienda kama ushagoo unaenda na familia.
Pamoja na mambo ya kisiasa huyu bwana pia alijitengenezea maadui wengi katika shughuli zake za kibiashara na binafsi,twaambiwa huyu mheshimiwa alikuwa na makampuni si chini ya 50 ambayo mengine hata familia yake haiyajui,hakika huu si mfano mzuri kwa mzazi yoyote,anaonekana alikuwa mnyanyasaji,sasa mtu ambaye hata familia yake anaifanyia roho ngumu kwa mambo madogo itakuwaje kwa mtu baki?waacha Mutula apumzike alikuwa na mzigo wa mambo mengi na sasa kautua
 
Inasemekana Mutula Kilonzo alishasema anazo taarifa za muhimu sana ambazo alikusudia kuzitoa kama ushahidi huko ICC -The Hague, Wengi wanasema ushahidi huo ulimlenga moja kwa moja na Ungesababisha Odinga kuingia hatiani.

sio kwamba huo ushahidi ulimlenga uhuru na ruto! Kweli nimeamini jamaa hata siku mia toka wachukue madaraka tayari wameshaanza kuuwa.
 
Kumbukeni mpinzani wake wa kisiasa alikuwa horoun mwau,drug baron na oja kati ya ma tycoons kenya..tena rafiki mkubwa wa uhuru kenyata.
 
Kwenye huu msiba huyu binti anaweza kusaidia.

Last edited by a moderator:
K. Kilonzo hawezi kusaidia chochote mdomo kama ndugu yake na marehemu chacha Wangwe mdomo ulishonwa na sirikali yetu.
 
K. Kilonzo hawezi kusaidia chochote watamfunga mdomo kama ndugu yake na marehemu chacha Wangwe mdomo ulishonwa na sirikali yetu.
 
Back
Top Bottom