Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

Kitoto cha Beberu mzoefu! Netanyahu hawakapendi pamoja na kuimarisha ukuta wa Amani Israel, sembuse yeye! wanakuja hivo! Mabeberu km kawa hawataki mnyonge aonewe!
 
Ni lazima ang'oke! Wananchi tumechoka kudhalilishwa na kufokewa badala ya kuongea na sisi kama wananchi! Watumishi wa umma wamechoshwa na dhuluma ya mishahara na maslahi yao! Hivi sasa watumishi wanaomba sana Mungu akafanye tofauti kabisa na matarajio ya CCM! Wakulima wanatafta mkombozi wa mazao yao! Wafanyabiashara wanatafuta mtu mwingine nje ya CCM wa kunasua na kodi nyonyaji! Wahitimu wa vyuo wamechoka kukaa vijiweni bila ajira, wanataka kiongozi mpya atakayekuja na mfumo mpya wa kuleta ajira! Wananchi wa mitaani na vijijini wamechoshwa kugawanywa kwa misingi ya kitikadi, sasa hivi ukifiwa kama wewe ni CHADEMA ujue msiba wako hauwahusu majirani zako ambao ni wanachama wa CCM, hivyo wananchi wanataka kiongozi mpya atakaerudisha umoja wa kitaifa! Zaidi ya yote wananchi wote wanataka maendeleo halisi ya watu na si maendeleo ya vitu!
 
Kuna mtu kawa kituko kwenye covid 19 kama cha pombe, acha kwa marais, kwa maraia wote wa east africa, yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…