Soka la bongo limekosa mtu mzuri wa kuliongoza, morali nzur ikiwepo tutasonga mbele.
Hakuna mtu aliejitoa kuwapa moral soka kitaifa wengi ni kupokea pesa tuu na kusepa.
Naamin watanzania wanapenda mpira ila malengo haman yan tupu tupo. Siku tukiamua kuihamasisha timu yetu ya taifa kama tulivyo shap kwnye udaku nakwambia tutafika.
Wenzetu zambia walijipanga, wakazma uwanjan Afcon wakaichukua tena kwa kuichapa tembo ivory cost.
Tuachen vikali vya kiboa. Pia siko mpira tuu bali mechezo yote na imani tutafika tukijitoa.
-Uzalendo unahitajika, watu wapo tuu hawapend taifa lao