Kenya 2022 Kwanini Rais Uhuru Kenyatta anampigia kampeni Raila Odinga?

Kenya 2022 Kwanini Rais Uhuru Kenyatta anampigia kampeni Raila Odinga?

Kenya 2022 General Election

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Naomba kueleweshwa hapa. Raila ni mpinzani wa Uhuru miaka mingi. Iweje leo Uhuru ampe support Raila?
 
Naomba kueleweshwa hapa. Raila ni mpinzani wa Uhuru miaka mingi. Iweje leo Uhuru ampe support Raila?
Hata pale alipokua anampinga alikua ywajua Raila si kiongozi mbaya.
Kumbuka Kwa Ile serekali ya mgao baada ya Kura za 2007, Raila alitengezewa cheo cha waziri mkuu ambacho kilimfanya Raila awe boss wa Uhuru Kenyatta ambae wakati huo alikua waziri wa fedha na walifanya kazi pamoja.
Uhuru anataka aiache serekali Kwa mtu ambaye anamuamini, na ni kama aliona Ruto anataka kuendelea kujitajirisha tu kwahivyo alionelea Raila ndo mtu ambae ataweza kuendeleza Sera zake.
 
Back
Top Bottom