Hata pale alipokua anampinga alikua ywajua Raila si kiongozi mbaya.
Kumbuka Kwa Ile serekali ya mgao baada ya Kura za 2007, Raila alitengezewa cheo cha waziri mkuu ambacho kilimfanya Raila awe boss wa Uhuru Kenyatta ambae wakati huo alikua waziri wa fedha na walifanya kazi pamoja.
Uhuru anataka aiache serekali Kwa mtu ambaye anamuamini, na ni kama aliona Ruto anataka kuendelea kujitajirisha tu kwahivyo alionelea Raila ndo mtu ambae ataweza kuendeleza Sera zake.