GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
popoma nakuona“ Some people think that being in government for a long time is a bad thing. But the more you stay, the more you learn. I am now an expert in governance “.
Shikamoo Rais Mzee Yoweri Amos Kaguta Museveni a.k.a Mwamba wa Mbarara a.k.a Mwamba wa Ankole a.k.a Mwanamume wa Vita vya Msituni Afrika nzima.
Nawasilisha.
Chanzo: AZ QUOTES
Acha kupotosha anakuja wa chama kile kile hata kwa kulazimisha kwa goli la mkono, hebu wekeni uwanja sawa kwanza ndio ujisifu ,sawa sawa? In Maalim voiceTanzania tumetoka huko siku nyingi. Rais wetu anachapa kazi akimaliza muda wake atakuja mwingine na WaTZ tutasonga mbele.
Ha ha ha ha ha ha lipopoma la Rwanda liko kwenye uzi wa waganda' Popoma ' Mjomba wako / Shangazi yako.