Kwanini Rais wa Ukraine havai suti? Majibu haya Hapa

Zelesinky anajazwa upepo na nchi masikini za Ulaya wakatina zenyewe zinategemea US ila mziki wa marekani ataucheza peke yake hana discipline ya viongozi katika nchi ambao imemsaidia mpaka hapo alipo.
Discipline ni kuvaa suti au kanzu?kwa hiyo Elon musk hana discipline au ukiwa tajiri automatically unakuwa na discipline regardless uvaaji wako?kweli dunia ilipofikia pa hovyo sana.
 
Kwahiyo fikra zako ni kwa ihsanı ya chathGPT ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…