Ila urais una raha yake
Haya matumizi yalichangia kiasi gani kwenye report ya CAG?
Mke wa methody marehemu....alikuwa mtoto arusha familia ya kasegenye huyu ni mhehe....mbichi kabisa....uyu mke wa Rais mwinyi amefanana na aliekuwa mke wa mchezaji wa Simba wa zamani, alikuwa anaitwa Method Mogella(kilaka)........au ndio uyu aliolewa na mwinyi baada ya kufa Method
Okay mkuu, thanksMke wa methody marehemu....alikuwa mtoto arusha familia ya kasegenye huyu ni mhehe....mbichi kabisa....
Mkuu tatizo la urais huwezi kuchipuka.Ila urais una raha yake
Huyo ni kutoka familia ya hans pop wa simba ni muhehe wa iringauyu mke wa Rais mwinyi amefanana na aliekuwa mke wa mchezaji wa Simba wa zamani, alikuwa anaitwa Method Mogella(kilaka)........au ndio uyu aliolewa na mwinyi baada ya kufa Method