Kwanini refarii hajatangazwa mpaka leo?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Only in Tanzania, masaa 48 kabla ya mechi ya Simba na Yanga marefarii bado hawajatangzwa na wala hawajulikani, je nini shida? Je nini kinaendelea nyuma ya pazia?
 
Only in Tanzania, masaa 48 kabla ya mechi ya Simba na Yanga marefarii bado hawajatangzwa na wala hawajulikani, je nini shida? Je nini kinaendelea nyuma ya pazia?
According to TFF wamesema ni kwa ajili ya sababu za kiusalama kwa mwamuzi
 
yebo yebo mbona mna wasi wasi
mkileta ujinga viti vitatufariji
 
Haipaswi kutangazwa mapema,, maana Vyura fc ,,hawachelewi kumshawishi Refa ili atoe Red card kwa timu yetu,, au akubali goli la Mkono kwa Vyura fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…