Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu zuri sanaRepublican ni chama cha siasa katika nchi ya Marekani wakati ccm ni chama dola ktk nchi ya Tanzania. Wakati chama cha Republican kipo tu kiwe na madaraka au kisiwe nayo, ccm nje ya madaraka hakiwezi kuwepo kwa sababu pumzi kinachopumulia inaitegemea serikali kwa asilimia 100. Wakati chama cha Republican kina uungwaji mkono mkubwa kwa wananchi wa Marekani, ccm hakitakiwi na wananchi na kinategemea uungwaji mkono wa vyombo vya dola kama jeshi, polisi na usalama wa Taifa ili kiwe hai.
Hivyo basi ni yaleyale kwamba kukifananisha chama cha Republican na ccm ni sawa vilevile na kuifananisha Tanzania na Marekani wakati tofauti yake ni kama Usiku wa Giza na Mchana wa Jua.