Kwanini rich people wanapenda kucheza golf

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari zenu wanajukwaa.Katika dunia ya leo kuna michezo ya aina mbalimbali kwa makundi rika tofauti.
Lakini kwanini mchezo wa golf unapendwa kuchezwa na watu matajiri,kuna siri gani katika mchezo huu.Naomba tujadili in positive way tunaweza kugunduwa power iliyokuwepo katika mchezo huu..
The Nobel prize winning physist Albert Eastern.The best thinker who ever lives asserted"Think is hard work,that's way few do for it"Golf ni mchezo unaohitaji uwezo mkubwa sana wa kutumia akili kuliko nguvu.Mchezo huu humfanya mchezaji kuvuta umakini ili ku hit the target.Hivyo hana budi kutumia akili nyingi ili kulenga shimo husika.
Kuna siri gani katika mchezo wa golf kupendwa na matajiri tu?
Karibuni
 
ni kwa sababu ni mchezo ambao maskini na wapiga majungu wengi hawauelewi, golf si kama mpira wa miguu, golf unahitaji watu wachache tu sio kama mpira wa miguu uliojaa umbea na majungu
Sasa kwanini matajiri wanaupenda huu mchezo,hakuna power ndani ya huu mchezo.Try to think behind the scene
 
Ni mchezo ambao matajiri wanapata mda wa kufanikisha mikakati yao.
Pia ni mchezo ambao hutoki jasho la mbio na pia unapunga upepo mzuri.
Na ni mchezo ambao kuvunjika kiungo ni kama impossible

Lakini pia haina maana ni mchezo wa matajiri pekee kwani Manhattan kuna sehemu ya wasiokuwa nazo pia poor man's golf range.
 
ni kwa sababu ni mchezo ambao maskini na wapiga majungu wengi hawauelewi, golf si kama mpira wa miguu, golf unahitaji watu wachache tu sio kama mpira wa miguu uliojaa umbea na majungu
Sio kwamba ni mchezo wa matajiri ila ilizoeleka hivyo Mkuu.

Tigerwood ndo mtu peker alie vunja huo mwiko.

Hata michezi ya Farasi inaonekana inafanywa na wenye pesa ni kwa sababu masikini kufuga farasi ni shughuri
 
Golf ni mchezo unaohitaji umakini,makidirio,mahesabu ,nguvu na akili nyingi kuucheza kwa hiyo kwa wenye pesa inasaidia kuamsha akili japo yuko mchezoni lakini anatumia akili nyingi lakini hata chess pia.
 
Sio kwamba ni mchezo wa matajiri ila ilizoeleka hivyo Mkuu. Tigerwood ndo mtu peker alie vunja huo mwiko.
Hata michezi ya Farasi inaonekana inafanywa na wenye pesa ni kwa sababu masikini kufuga farasi ni shughuri

Ni mchezo ambayo vitu vya kuchezea vina bei kubwa na inabidi kulipa pesa kuwa member of golf clubs. Watu wasio na hela hawawezi kuwa member .

Pia huu na michezo mingine inabidi uwe na pesa au kuwa sponsored by rich people or big companies, or government Michezo kama kama tennis, gymnastic, Skating, Swimming, Surfing, Formula 1, Sailing, Polo, Ski Jumping, Archery, Fencing, Rowing au Equestrian inahitaji pesa. Halafu miaka 20 iliyopita some golf clubs walikuwa hawataki kuwa na members ambao ni weusi.

Ni mchezo kama mingine. Lakini kuna vikwazo kwa watu wengi duniani kucheza.
 
unapendwa na watu wastaarabu na wenye heshima zao.
Obama na clinton wakicheza golf

Trump himself
 
Nakumbuka Japan huko watu wa aina zote wanacheza. Si lazima uwe na mkwanja. Na hata nisie nazo mie nikapata wasaa wa kujifunza huko huko. Hata viwanja kulipia mcheze ni bei ya kawaida sana na si lazima uwe member.

Sasa sijajua kwanini kwengineko unaonekana hivo. Labda tutapata jibu hapa ingawa niliona tofauti hio nchi moja.
 
Kwa Tanzania facilities za Golf ni hadimu sana, yaani supply iliyopo inazidi demand ndo maana hata ushiriki wake ni wa gharama kubwa ili kupunguza idadi ya watu watakao ucheza.
kwa mfano, Mwanza hakuna kabisa uwanja wa golf
Kwa dar hapa sijui hata vilipo
 
Matajiri wengi ni aged na pia hawapendi michezo ya purukushani so ule ni mzuri pia kwa wavivu wa kutumia nguvu hivyo matajiri wengi ni watumia akili na sio nguvu
 

Gymkhana wana Golf clubs Dar and Arusha.


Dar-es-Salaam GymKhana Club A Multi faceted sports facility since 1916




Arusha Gymkhana Club | Gymkhana Club

Arusha Open is finish tomorrow. (12 - 15 October)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…