Kwanini Rostam ameuza hisa zake za Vodacom?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
26% amewazuia Vodacom south Afrika,why now?
 
Amecheza game ya Kibaishara

Kauza hisa Za Kampuni yake Kwa Kampuni ile ya ki South Africa Halafu kaenda kununua hisa Za ile Kampuni ya South Africa

Katika Lugha rahisi kafanya kuhamisha Mtaji wake kutoka Hapa Nchini mpaka South Africa lakin faida ya Uwekezaji wake ataipata kupitia South Africa
 
kwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.

Hii inatufundisha nini?

Inatufundisha tuwekeze kwenye Rasilimali akili sio rasilimali Majungu

Yaani kaituma Kampuni ya kikaburu kuja kumuwakilisha kwenye Uwekezaji wake Hapa Nchini Kwa Kuwa akiwekeza direct Kelele zinakuwa nyingi

Dowans alifanya hivyo akaita Symbion Kelele zikaisha Na Sasa Kelele Z umiliki wake Vodacom zitaisha soon
 
Mlachake likes this comment
 
Kweli kabisa
 
Wakati Biblia imemuandikia Mwanaume kwa Mwanamke "muishi nao kwa akili"

Basi Duniani ina maana muishi na Waswahili kwa akili.
 
Wakati Biblia imemuandikia Mwanaume kwa Mwanamke "muishi nao kwa akili"

Basi Duniani ina maana muishi na Watanzania kwa akili.

2011 Akili kubwaaaz Rostam Abdul rasoul Aziz alipojiuzulu Ubunge wa Igunga alitoa hotuba Fupi Sana akielezea mwelekezi wa Siasa zetu kwenda Mrama lakin ma vuvuzela kina Said Kubenea Na kipeperushi chake Cha Mwanahalisi walikuwa busy kumchafua Kwa Kashfa Za kutunga

Nakumbuka ilifikia hatua alipofiwa Na Baba yake Mzazi Rostam ilitakiwa uwe Na roho ya kijasiri kwenda msiban pale kwake Kwa kuwa ilionekana Kama Ni kusaliti Taifa

Wakati Mzee wake akiwa Hospital Kule France ilikuwa watu wanaaga kwenda Marekan Kumbe uongo wanaenda France lakin Kwa usiri Mkubwa Hata Ubalozin kwetu hawafiki ili wasijulikane wakati Ni watu wakubwa Sana ,

ukitaka kumuua mbwa mpe jina Baya wahenga walinena

Kuna Rafiki zake wakubwa Sana ilibidi waende usiku usiku kuhani msiba wakati alikuwa Mtu wao wa Karibu Sana Kwa zaid ya Miaka 15
 
kwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.

Hii inatufundisha nini?

Je ni bora kaburu kuliko dicter

Swissme
 
kwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.

Hii inatufundisha nini?
Inatufundisha unaweza kuituma hela mahali popote na ukapata matokeo yaleyale. Kwa vile yeye mwekezaji, uwanja anaochezea ni right quadrant, kama anavyofundisha R. Kiyosaki.... Kwa maana nyingine, anayemiliki mtaji, yuko huru na hafungwi na eneo, nchi au mazingira ya biashara .... Freedom
 
Back
Top Bottom