Alaaaa……….!Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?
Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK
Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?
Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Ni raia wa nchi zaidi ya 6 huyo muhalifu na jambazi fisadi Rostam azizi RAIA FEKIInakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?
Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK
Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?
Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Ni mtanzania kutoka Igunga Taborauraia wake wa kwanza ni wa nchi gani?
Rostam hana uraia wa uingereza bali ana kibali cha kuishi uingereza kwa miaka mingi kama alichonacho salim kikekeInakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?
Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK
Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?
Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Jasusi la kimataifaInakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?
Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK
Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?
Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Duh Lugumi ana ufisadi gani?Fisadi zaidi ya Lugumi
Kinakuwa revoked ukikaa nje zaidi ya miaka miwili...Rostam hana uraia wa uingereza bali ana kibali cha kuishi uingereza kwa miaka mingi kama alichonacho salim kikeke
Hapa unamaanisha nini?uo uo
Hapana ili mradi uwe unaingia na kutoka na uwe na nyumba huko kama salim kikeke ana nyumba,rostam aziz ana assets nyingi huko kampuni yake ya caspian anajenga barabara uk jombaaKinakuwa evoked ukikaa nje zaidi ya miaka miwili...