Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

Watanzania wanafiki sana! We hizi habari umejua lini mbona ulikuwa kimya? Kwann useme sasa baada ya kukorofishana na HP? Kwahiyo mnajuana maujinga na madhambi yenu ila mnakaa kimya hadi mgombane sio?
Ndio CCM ilivyo niguze ninuke
 
Huyu alikuja Tanzania ili kurubuni na kushirikiana na viongozi Wajinga wa ccm wa ngazi za juu ili kuiba kila kitu
 
Sasa serikali ya uingereza ije wapi?
 
Huyu alikuja Tanzania ili kurubuni na kushirikiana na viongozi Wajinga wa ccm wa ngazi za juu ili kuiba kila kitu
alikuja? huyu kazaliwa kijijini mwisi,tuache uongo,kama una ushahidi kuwa mwizi we ongelea wizi wake,kuhusu kuzaliwa kazaliwa mwisi,wilaya ya igunga mkoa wa tabora
 
Na Je, Vipi Salim Kikeke, ni wa Tz au UK?
 
Mwendelezo lini
 
Akanushe nini? Kwamba umesema ana Uraia wa UK bila ushahidi wowote?

Haya sasa na wewe njoo ukanukushe kuwa mimi sio babaako niliyempa mimba mamaako tukiwa field mwaka wa pili chuoni!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…