John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Inategemea nchi na nchi.Kinakuwa evoked ukikaa nje zaidi ya miaka miwili...
Ni juu yako kuamini au kutoamini,mimi nimezaliwa bukene bapo ndio ilikuwa makao makuu ya wabulushi,baba yangu allikuwa mtumishi wa serikali ya uingereza na ndipo alipokutana na mbantu nikazaliwa mimi,baba yangu alikuwa na urafiki na wabulushi wengi na ndipo akajenga urafiki na baba yake rostam ambae alikuwa na duka huko mwisi,jirani na hospitali ya nkinga na kila mara tunapoenda nkinga maana ndio hospitali kubwa kwa mkoa mzima wa tabora nyakato hizo,ilikuwa ni lazima tuende mwisi kwa baba yake rostam na ndipo tulipofahamiana na rostam tukicheza pamoja,sihitaji mtu yoyote aniamini lakini wanaomjua rostam wanajua nisemayoNani atakuamini kwa porojo hizo?
Wadanganye Wajinga wenzioNi juu yako kuamini au kutoamini,mimi nimezaliwa bukene bapo ndio ilikuwa makao makuu ya wabulushi,baba yangu allikuwa mtumishi wa serikali ya uingereza na ndipo alipokutana na mbantu nikazaliwa mimi,baba yangu alikuwa na urafiki na wabulushi wengi na ndipo akajenga urafiki na baba yake rostam ambae alikuwa na duka huko mwisi,jirani na hospitali ya nkinga na kila mara tunapoenda nkinga maana ndio hospitali kubwa kwa mkoa mzima wa tabora nyakato hizo,ilikuwa ni lazima tuende mwisi kwa baba yake rostam na ndipo tulipofahamiana na rostam tukicheza pamoja,sihitaji mtu yoyote aniamini lakini wanaomjua rostam wanajua nisemayo
ThisJasusi la kimataifa
Acha kupotosha watuAisee kitu usichokijua unyamaze,rostam amezaliwa kijiji cha mwisi wilaya ya igunga
Wazazi wake wako mwisi Rostam hajawai kuishi Tabora acha story za vijiwenibuyo rostam kazaliwa mwisi mimi nimezaliwa bukene najua naloongea bro
Unauliza ufisadi wa Lugumi ? Ni sawa na kuuluza mafiii chooniDuh Lugumi ana ufisadi gani?
Huyo jambazi Rostam azizi yupo juu ya sheria zote na haki zote .....Labda ana indefinitely leave to remain au Permanent residency kama inavyojulikana huku.
Anaweza akawa na Tz passport na kuwa na sheria ya kuishi bila kuwa na British passport
Ila hilo ni uhamiaji ndio wanajua zaidi.
Sisi tutakuwa wapiga ramli tu
Ukishakuwa kapuku unajikuta unashabikia hata usiyoyajua ili tu ulipwe!Akanushe nini? Kwamba umesema ana Uraia wa UK bila ushahidi wowote?
Haya sasa na wewe njoo ukanukushe kuwa mimi sio babaako niliyempa mimba mamaako tukiwa field mwaka wa pili chuoni!!!!!
Ponjoro ndio nyie sasaNi juu yako kuamini au kutoamini,mimi nimezaliwa bukene bapo ndio ilikuwa makao makuu ya wabulushi,baba yangu allikuwa mtumishi wa serikali ya uingereza na ndipo alipokutana na mbantu nikazaliwa mimi,baba yangu alikuwa na urafiki na wabulushi wengi na ndipo akajenga urafiki na baba yake rostam ambae alikuwa na duka huko mwisi,jirani na hospitali ya nkinga na kila mara tunapoenda nkinga maana ndio hospitali kubwa kwa mkoa mzima wa tabora nyakato hizo,ilikuwa ni lazima tuende mwisi kwa baba yake rostam na ndipo tulipofahamiana na rostam tukicheza pamoja,sihitaji mtu yoyote aniamini lakini wanaomjua rostam wanajua nisemayo
Wivu unamsumbuaDuh Lugumi ana ufisadi gani?
Kwa sheria ya uraia ya Tanzania haijalishi uraia wake wa kwanza wa nchi gani.uraia wake wa kwanza ni wa nchi gani?
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?
Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK
Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?
Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Ila kuna wanaombebaHuyo jambazi Rostam azizi yupo juu ya sheria zote na haki zote .....
Yeye ndiye anaye wabeba kwa kutumia fedha amesha suka mifumo na mtandao hadi JWTZIla kuna wanaombeba
Sawa mkuu,Kwa sheria ya uraia ya Tanzania haijalishi uraia wake wa kwanza wa nchi gani.
Kama alianza kuwa muingereza akaja kuomba utanzania alitakiwa aukane uraia wa Uingereza kwanza.
Kama alianza kuwa raia wa Tanzania akaomba wa Uingereza hapo moja kwa moja sheria y Tanzania ameshakana uraia wake wa Tanzania.
Tanzania haina uraia pacha wa Aina yeyote Ile.
Rostam kayachokoza mwenyewe hakujua haya mambo ya Polepole awamu hii ni maji ya kina kirefu.
Never underestimate your enemy.
Alichukulia mazoea hakujuiuliza kwanini Polepole anasema anawataka wakubwa wenyewe wajitokeze kumjibu siyo kutuma wadogowadpgo?!
Ikitokea kuwa haya ni kwel, basi yeye si raia wa Tanzania. Tufanye utafiti na uchokonozi zaidi ili tuwe na hakika.Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?
Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK
Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?
Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Rostam mzaliwa wa mwisi,igunga, tabora,na mababu zake walikuwepo tz zaidi ya miaka 150 iliyopitaNadhani ungekuwa wa kwanza kunyamaza wewe ! La Rostam liko bayana wala halihitaji mjadala
Mtoa mada katoa mada bila kuthibitisha,nawe umeaminisasa kama ni hivyo nchi inaweza watedect hawa wenye uraia nchi nyingine kweli ili iwafute?