Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Ndio ninalipwa iwe na mtu au chama ninalipwa na ninafurahi kwa hilo!Unalipwa kwa uchawa kwa hao unaotetea siyo Chama, wewe ni chawa kwenye mwili wa individual anayekubebeba, kama chawa wabebwavyo, hapo kuna Symbiotic relationship, in biological term.
Kipindi kile General PK alipomwambia JK kwamba anaijua vuziri TZ na hata rangi za mashuka ya Ikulu anazijua, ulifikiri hiyo kejeli ilitokea hewani tu, he meant it na viongozi wetu wapo tu kufurahia connection na mafisadi kumbe they are being exposed to even potential enemies like Gen PK , ambaye already pia amepenetrate system zetu kwa kutumia Twiga wake ambao viongozi na wakubwa wengi wamenaswa nao. Lugumi could be one the facilitating agents, na hili hata current CDF aliwahi kumuonya bibie kuwa watu wa nje wamepentrate system zetu, he was right.Inawezekana aisee ni Mnyarwanda/Mtusi? Au? Kweli unajua yule jamaa nikimuangalia matendo yake siyo ya Kitanzania na hata huo Uislam wake ni kama hafananii kabisa. Ila anawadhalilisha sana wakubwa.
Hili tamanio lako pekee linatosha kukuonyesha kuwa wewe ni mtu wa aina gani. Nadhani itosheBinafsi ningekuwa na nguvu ningejipa uraia wa dunia. Huu ni uhuru. Kuwepo popote wakati wowote bila kuzuiliwa na binadamu mwengine aitwaye mwanasiasa.
Thibitisha please, maana tha burden of proof also lies in the shoulder of the accused in the defenseAkina rostam wapo tz zaidi ya miaka 150
Kwa hiyo huyo mwanamke kama mumuezaa naye mtoto mmoja mkiwa wanaume zaidi ya mmoja huyo mtoto sasa ni wa nani na amechukua uraia wa mzazi yupi. Still your are ambiguous in your defense.Tumezaa na mwanamke mwingereza na mtoto ni kijana na kwa sasa anaishi chicago akifanya kazi
Mtazamo wako ni tatizo lako.Hili tamanio lako pekee linatosha kukuonyesha kuwa wewe ni mtu wa aina gani. Nadhani itoshe
Mwenye asili ya IranNi mtanzania kutoka Igunga Tabora
Ni Press Mkuu mambo ya autocorrectNi afadhali husingechanganya lugha jombaa,
Rostam ni tapeli.Ni mtanzania kutoka Igunga Tabora
kama hujui kusoma,hii ni shida yakoK
Kwa hiyo huyo mwanamke kama mumuezaa naye mtoto mmoja mkiwa wanaume zaidi ya mmoja huyo mtoto sasa ni wa nani na amechukua uraia wa mzazi yupi. Still your are ambiguous in your defense.
Hata watanzania wengine wako Burundi, Rwanda, Kenya, Congo, Zambia na kwingineko wakiwa na uraia wa kikazi maalumu kwa manufaa ya taifa. Na si kwamba serikali haijui Rostam ni nani. Wapo wamasai ni FBI na ni Royal kwa serikali ya Marekani ingawa wanapatikana mambugani Arusha na wanaonekana ni raia wa Tanzania.Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?
Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK
Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?
Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Acha uongo Rostam ana asili ya Iran kweli ila kazaliwa TaboraNa pia ana uraia wa Iran kwa kuzaliwa.
mtu aliyeshiba hatetei kisichompa kula... mwanamtandao nguli kabisa huyu...Rostam ni tapeli.
Asingekuwa na kitu cha kuchuma Tanganyika, wala usingemuona nchi hii.
Ile kauli ya CDF ilikuwa siyo nzuri kwa taifaKipindi kile General PK alipomwambia JK kwamba anaijua vuziri TZ na hata rangi za mashuka ya Ikulu anazijua, ulifikiri hiyo kejeli ilitokea hewani tu, he meant it na viongozi wetu wapo tu kufurahia connection na mafisadi kumbe they are being exposed to even potential enemies like Gen PK , ambaye already pia amepenetrate system zetu kwa kutumia Twiga wake ambao viongozi na wakubwa wengi wamenaswa nao. Lugumi could be one the facilitating agents, na hili hata current CDF aliwahi kumuonya bibie kuwa watu wa nje wamepentrate system zetu, he was right.
Njoo igunga kijiji cha mwisi, familia yao ilipo,nikuthibitishieThibitisha please, maana tha burden of proof also lies in the shoulder of the accused in the defense
Watu makini hawajadili hivi. Hili jukwaa la watu makini. Ukiweka tuhuma unaweka na ushahidi. Halafu hii tabia ya kumshambulia mtu kama mimi kuniita sijui nipo karibu na huyu unayemtuhumu ni kukosa umakini.Kwa nini basi wewe usimuombe rafiki yako RA atuwekee documents zake hapa kuondoa huu utata juu yake. Najua mko beneti kwa hili pofu lote unalotoa kwa ajili yake