Kwanini rushwa iwe suala la Rais pekee?

Kwanini rushwa iwe suala la Rais pekee?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee.

Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi.

Watanzania inabidi sisi tutoe tu mawazo na kupiga kelele kwenye rushwa na tutake majibu. Mfano kama huna card ya NIDA mpaka sasa piga kelele na lalamika ukinyamaza ndiyo tunawaendekeza na habari hazifiki juu. Hawa viongozi wa chini wananufaika sana na wananchi kunyamaza. Kwenye tozo tumeona faida ya kupiga kelele lakini rushwa vilevile tupigie kelele nayo

Lakini Kiongozi wa kitengo cha rushwa ameshidwa kazi tumuombe Rais amsimamishe kazi kwa manufaa ya umma.
 
Kwenye mikutano mingi ya vyama Rushwa itakuwa topic kubwa sana
 
Hata idara ya kupambana na kuzuia rushwa inasubiri kupewa maagizo kila siku
 
Rais ambae ni kinara wa kuhamasisha ufisadi hawezi kuzuia Rushwa
 
Back
Top Bottom