Kwanini Russia inashirika UEFA Nations cup wakati ipo Asia?

kukumsela

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
725
Reaction score
917
Wakuu habari za jioni poleni na majukumu naomba kuuliza ni kwanini nchi ya urusi inashirika UEFA Nations cup wakati ipo Asia. Naomba kuwasilisha wakuu.

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Urusi ni transcontinental country, 77% ya ardhi iko Asia na 23% iliyobaki iko Europe ambapo ndo imechukua asilimia 40 ya Europe, ila cha kushangaza asilimia 75% ya Warusi wanaishi Europe nadhani ndiyo maana nafikiri UN Walii-classify kama European kulingana na sifa hizo kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…