bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Ndio Rwanda ni majirani zetu kama wanavyosema wao wanaongozwa na rais mwenye inteligensia kali Afrika nzima siwezi kulijibia hili kama ni kweli au la hasha.
Utafiti wangu mdogo nahisi kati ya nchi zinazomnyima usingizi Rwanda ni Tanzania bila shaka nahisi rais wao anatumia nguvu kubwa sana kuifahamu Tanzania in and out.
Yes anaweza kuwa na taarifa juu ya Tanzania lakini zisiwe ni taarifa anazozitaka na kwanini anapenda sana kuwa na taarifa dhidi ya Tanzania mimi na wewe hatujui.
Asilimia 100 hawezi kupata taarifa sahihi dhidi ya Tanzania kwani hata Watanzania wenyewe hawaifahamu nchi yao vizuri hii imechangiwa na ukubwa wa nchi yao na pia watanzania wengi wana habari za vijiweni tu dhidi ya nchi yao.