Acha muendelee kuibiwa kwa ujinga wenu, maandiko yako wazi sana japo kuna sehemu yanajipinga yenyewe lkn kuna vifungu walivyosahau kuviharibu wale walioleta dini kwa madhumuni yao, vifungu hivyo vinawaumbua kwa wafanyayo.
kutoa sadaka kanisani ni ujinga na umasikin wa kujitakia, maana sadaka ya kwel inaanzia nyumbani na kwa jirani zako wasio na uwezo, pia kwa wajane, mayatima na wagonjwa, hiyo ndyo sadaka inayotambulika, na kwakuwa Mungu kila kitu ni chake, basi hutakiw kusema unampa ama unamtolea bali useme ninatoa msaada kwa wahitaji na sio kusema unamtolea Muumba.
Makanisa na madhehebu hayatambulik na Mungu maana Kibiblia kanisa ni mtu nasio hayo magenge yenu ya jumapili, kanisa la kweli ni wew mtu.
walokole wengi na wafia dini maisha yenu ni yakifukara japokuwa mnajitahidi kutoa sana lkn maisha hayabadirik jiulizeni mnakosea wap? mbona hawa mnaowaita wapagani wakitoa wanabarikiwa sana? jibu ni wanabarikiwa kwasabbu wanajua target ya sadaka/msaada ni kwa wahitaji yaan masikin na wagonjwa, hivy bas hata Muumba hawez kuwasahau hatakama maisha yao mnawaona wabaya sana na wadhambi..
kawaangalie wanasiasa na wale mapedeshee wanaojitahidi kuhudumia jamii jinsi maisha yao yalivyo mazur na yenye kuneemeka kulko nyie wanafiki wa dini.
Mungu wa kweli hatambui dini wala kanisa lolote la nyakati hizi, acheni kupoteza muda wenu na pesa zenu kuwatolea matapeli na majambazi(wachungaj,manabii na wainjilist haaa wote ni majambazi)
Warumi 16:17-19
Romans | Warumi
Swahili
16:17 Ndugu zangu, nawasihi, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyume cha mafundisho mliyojifunza; mkajiepushe nao.
Swahili
16:18 Kwa sababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu.