Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
Kwa hiyo unataka kusema Mungu akikosa Sala anakufa sio?Chakula cha Mungu ni sala, chakula cha mwanadamu ni hela (sadaka)
Umeongea mengi ila mostly umeongea emotions tu. Sadaka zimeelekezwa kwenye Biblia na Mungu mwenyewe sio suala ambalo padri au mchungaji aliamka akajiamulia tu. Soma Malach 3 utaona.Acha muendelee kuibiwa kwa ujinga wenu, maandiko yako wazi sana japo kuna sehemu yanajipinga yenyewe lkn kuna vifungu walivyosahau kuviharibu wale walioleta dini kwa madhumuni yao, vifungu hivyo vinawaumbua kwa wafanyayo.
kutoa sadaka kanisani ni ujinga na umasikin wa kujitakia, maana sadaka ya kwel inaanzia nyumbani na kwa jirani zako wasio na uwezo, pia kwa wajane, mayatima na wagonjwa, hiyo ndyo sadaka inayotambulika, na kwakuwa Mungu kila kitu ni chake, basi hutakiw kusema unampa ama unamtolea bali useme ninatoa msaada kwa wahitaji na sio kusema unamtolea Muumba.
Makanisa na madhehebu hayatambulik na Mungu maana Kibiblia kanisa ni mtu nasio hayo magenge yenu ya jumapili, kanisa la kweli ni wew mtu.
walokole wengi na wafia dini maisha yenu ni yakifukara japokuwa mnajitahidi kutoa sana lkn maisha hayabadirik jiulizeni mnakosea wap? mbona hawa mnaowaita wapagani wakitoa wanabarikiwa sana? jibu ni wanabarikiwa kwasabbu wanajua target ya sadaka/msaada ni kwa wahitaji yaan masikin na wagonjwa, hivy bas hata Muumba hawez kuwasahau hatakama maisha yao mnawaona wabaya sana na wadhambi..
kawaangalie wanasiasa na wale mapedeshee wanaojitahidi kuhudumia jamii jinsi maisha yao yalivyo mazur na yenye kuneemeka kulko nyie wanafiki wa dini.
Mungu wa kweli hatambui dini wala kanisa lolote la nyakati hizi, acheni kupoteza muda wenu na pesa zenu kuwatolea matapeli na majambazi(wachungaj,manabii na wainjilist haaa wote ni majambazi)
Warumi 16:17-19
Romans | Warumi
Swahili
16:17 Ndugu zangu, nawasihi, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyume cha mafundisho mliyojifunza; mkajiepushe nao.
Swahili
16:18 Kwa sababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu.
Chukulia mfano, watu wote duniani wasiwe wanasali. itakachotokea hapo,ile imani ya kuamini yupo, itapotea; na ikishapotea maana yake na yeye anakuwa hayupo (amekufa)Kwa hiyo unataka kusema Mungu akikosa Sala anakufa sio?
Mungu alikuwepo kabla dunia na watu hawajaumbwa.Maana yake ni kwamba alikuwepo kabla hatujaanza kusali wala kuabudu.Kwa hiyo hata binadamu leo hii wakistop kumwomba Mungu,yeye ataendelea kuwepo.Chukulia mfano, watu wote duniani wasiwe wanasali...kitakachotokea hapo,ile imani ya kuamini yupo, itapotea; na ikishapotea maana yake na yeye anakuwa hayupo (amekufa)
Mkuu, hivi vitabu vimeandikwa na binadamu kwa malengo maalumu. Jinsi tunavyoamini kuwa sisi hatukuwa sokwe,ingawa historia inatuambia tulikwa sokwe, ni hivyo hivyo hata kwenye vitabu tunavyoviamini tunaweza tusiviamini pia.Mungu alikuwepo kabla dunia na watu hawajaumbwa.Maana yake ni kwamba alikuwepo kabla hatujaanza kusali wala kuabudu.Kwa hiyo hata binadamu leo hii wakistop kumwomba Mungu,yeye ataendelea kuwepo.
Yesu wakati anaingia Yeeusalemu wakati anakaribia kukamatwa alisema wasingeshangilia basi mawe yangeshangilia.Mungu hahitaji sala zetu ila sisi tunahitaji kuongea naye kupitia sala na maombi kwa sababu imani ya mkristu ni uhusiano binafsi baina ya Mungu na mwanadamu.Kuna uhusiano usio na mawasiliano?
Sasa ndugu yangu sijakuelewa,huamini kama Mungu yupo au huamini vitabu? Kila maarifa yaliyopatikana kale sisi wa leo tunayapata kwa kusoma vitabu au kusimuliwa hakuna namna nyingine.Mkuu, hivi vitabu vimeandikwa na binadamu kwa malengo maalumu. Jinsi tunavyoamini kuwa sisi hatukuwa sokwe,ingawa historia inatuambia tulikwa sokwe, ni hivyo hivyo hata kwenye vitabu tunavyoviamini tunaweza tusiviamini pia.
Hivi huko makanisani, waumini hawapewi hata muda wa kuuliza maswali mpaka yanaletwa JF? Mbona wanafunzi wa Yesu walikuwa wanauliza? "Bwana, tuambie, mambo ambayo yatakuwa ndiyo ishara ya mwisho wa dunia ni yapi?"Habari zenu wakuu,
Naomba kupata muongozo katika hili.
Katika nyumba za ibada makusanyo ya sadaka huwa wanasema ni kiasi kadha lakini linapo kuja swala la matumizi hawatolei mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo.
Je, kuna ubadhilifu nyuma ya hili?
Waulize KKKTHabari zenu wakuu,
Naomba kupata muongozo katika hili.
Katika nyumba za ibada makusanyo ya sadaka huwa wanasema ni kiasi kadha lakini linapo kuja swala la matumizi hawatolei mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo.
Je, kuna ubadhilifu nyuma ya hili?