KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Imepungua umaarufu labda mijini. Maana ukiwa vijijini ukisema bia unamaanisha Safari lagerbaada ya kubadilisha chupa kwa nini Safari lager haifanyi vizuri sokoni?
Wateja wake weeengi wamekimbilia kwenye Castle.
<br />Tuliambiza wenyewe humuhumu kwenye jukwaa kwamba safari bia inapunguza nguvu za kiume sasa yaelekea hayo ndio matokeo yake.
inaumiza kichwa-wanaokunya kwa sasa wanazid kupungua-watu wengine hawatak kulewa haraka,wanataka kukaa bar muda mrefu
<br />Imepungua umaarufu labda mijini. Maana ukiwa vijijini ukisema bia unamaanisha Safari lager