Kwanini Saido Ntibazonkiza amekosa makali Ligi ya mabingwa Afrika?

Kwanini Saido Ntibazonkiza amekosa makali Ligi ya mabingwa Afrika?

carnage21

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
591
Reaction score
1,382
SAIDO NI MCHEZAJI WA LIGI KUU, KIMATAIFA HANA MAKALI

Kwenye michuano ya club bingwa barani africa msimu huu saido amecheza matches zote 6 ,group stage match 4 ,quarter final match 2 , Lakini kwenye match zote hizo alizocheza hajatoa assists wala hakufunga goal lolote.

Ila huku ligi kuu Tanzania bara mwamba ana goal 15 na assista 12 jumla kahusika kwenye magoal 27 ndiye mchezaj aliyehusika kwenye uoatikanaji wa magoal mengi ligi kuu Tanzania bara kuliko mchezaji yeyote.

Saido ni moja ya wachezaji waliokuwa wakilalamikiwa sana na mashabiki kwenye michuano ya club binga kwani alikuwa anapoteza mioira mingi sana alikuwa ana dribo sana mpira bila mafanikio yeyotw , hadi wachambuzi na mashabiki wa simba sc wali rise kwnini nafasi yake isichukuliwe na Moses phir ?

SWALI LANGU LA MSINGI
Ni kitu gani kilikuwa kinamfanya saido ashindwe ku-perfom vizuri Kimataifa kama anavyofanya NBC pl ?

tiririka Tujifunze kupitia wewe 🔝

FB_IMG_16861196683956328.jpg

 
Klabu bingwa unakutana na timu zilizokamilika, zenye wachezaji wengi ambao malengo Yao sio tu kuchukua kombe Bali pia kutafuta nafasi ya kwenda nje ya Africa.
Kama angeenda shirikisho angeweza kuonyesha maajabu maana kule kumejaa timu dhaifu ndio maana anayetolewa klabu bingwa anafika mpaka fainali ya shirikisho.
Kingine umri wake umechangia na ligi yetu ni dhaifu.
 
ni mchezaji mwenye kipaji tatizo umri hana kasi akili inataka kufanya kitu miguu inachelewa au kushindwa kabisa
Ana umri Kama wa Ronaldo
 
Back
Top Bottom